Huyo ndo wifi eti?
nimepishana nae tu
sista wifi yako nitakutambulisha
Haya....nikajua labda ndo huyo
Tatizo wapo wengi hadi wa kukutambulisha simuoni
Alafu naona hapo yalifanyika makamuzi ya kufa mto. Kwanza mavazi yenyewe ni ya mechi, pili naona ukuta na kitanda cha kigesti gesti.
Salaaleeeee.Tanga Mombasa kupitia holili