Mambo ya Mbagala

Zabibu

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
256
54
Wakati watu wakigombania kupanda kwenye daladala la mbagala kama kawaida yao,bibi mmoja alipanda bila shida akapata siti.
Baada ya muda konda akamuuliza "bibi unalia nini?" bibi akajibu "miaka yote 25 niliyoishi mbagala sijawahi kupata siti kwenye daladala".konda akadakia "tena bibi pisha hapo umekaa siti ya dereva".
 
Ya long time

Hii ishawahi kuwepo hapa jamvini zamani sana. Anyway lakini sio mbaya inachekesha.
 
hahahahahahahahahaha namuonea huruma bb mwenyewe alijua katusua baada ya miaka 25 kumbe mpka leo tunapoongea si ajabu ni miaka 32 sasa na hajapata siti!
 
Back
Top Bottom