Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,745
Heheheee we kweli chizi maarifa eti usimtizame usoni koboko na kobra utakuwa umebaki tu unamwangali kabla kuzimia hakujatangulia kifo kikafuatia badae1. Ikiwa umemkuta tu sehemu kapozi.Usimtizame usoni.nyoka wengi hawapendi kutizamwa usoni.wanapatwa na hasira.
2. Ikiwa mnakabiliana uso kwa uso mwangalie kwa makini hasa kobra,koboko au kifutu.mwangalie machoni ili uone anakuangalia sehemu gani akugonge.ukiona anakuangalia begani ujue ndo analenga sehemu hiyo. Epa.
3. Usimkimbie nyoka...mtizame kwa macho makali bila woga.hapo atajua upo serious...atashusha hasira zake na kianza kuondoka.
4. Kama unakutana na nyoka njiani mwache apite zake.kila mtu awahi mishe mishe zake.huwa hawapendi kukatishwa safari zao.
5. Ukikuta nyoka anacheza na mtoto mwache we endelea na issues zako.ukijifanya kumkatisha atakumind kuwa umemwona yeye hajui kuwa huyo ni mtoto hivyo atakuonesha kuwa sasa ngoja afanye ulichowaza.atamgonga.
1. Ikiwa umemkuta tu sehemu kapozi.Usimtizame usoni.nyoka wengi hawapendi kutizamwa usoni.wanapatwa na hasira.
2. Ikiwa mnakabiliana uso kwa uso mwangalie kwa makini hasa kobra,koboko au kifutu.mwangalie machoni ili uone anakuangalia sehemu gani akugonge.ukiona anakuangalia begani ujue ndo analenga sehemu hiyo. Epa.
3. Usimkimbie nyoka...mtizame kwa macho makali bila woga.hapo atajua upo serious...atashusha hasira zake na kianza kuondoka.
4. Kama unakutana na nyoka njiani mwache apite zake.kila mtu awahi mishe mishe zake.huwa hawapendi kukatishwa safari zao.
5. Ukikuta nyoka anacheza na mtoto mwache we endelea na issues zako.ukijifanya kumkatisha atakumind kuwa umemwona yeye hajui kuwa huyo ni mtoto hivyo atakuonesha kuwa sasa ngoja afanye ulichowaza.atamgonga.
Wee nawe unatuchanganya. Mara usimwangalie usoni Mara umkazie macho. Tusichoshane. Dawa ya nyoka ni kutoka nduki tu. Yeye mwenyewe atabaki anashangaa
Waeza ng'ang'ana upae ukidhania huwa una mabawa 😆😆Hakikisha ulipo kuna mwanga wa kutosha kama ni usiku..sio umemuona tu na umeme unakata...
Chizi maarifa story hizo unachotakiwa kufanya ukimuona nyoka jishike kwenye pingili ya mkono wa kulia yaani mkono wakushoto bana hapo kwenye juu mkono wako ukishabana haendi popote pale huyo nyoka watan wangu wa jadi washajua kitu gani kitakochomfanya asione njia nakukaa hapohapo alipo1. Ikiwa umemkuta tu sehemu kapozi.Usimtizame usoni.nyoka wengi hawapendi kutizamwa usoni.wanapatwa na hasira.