stopperjoseph
Senior Member
- Dec 9, 2018
- 198
- 224
🤣🤣🤣Hivi mnachukuliaga Ndoa kama tamthilia za kifilipino eeehhhh...!!??
Yaani kabisa minakaaga masoma humu watu wanavyo zisemea ndoa then mwisho najinyamazia tu
🤣Yaan wangejua🙌Yaani kabisa minakaaga masoma humu watu wanavyo zisemea ndoa then mwisho najinyamazia tu
Kelsea soma hiyoooooo 🤣🤣🤣🤣🤣Mke pia unatakiwa umzidi urefu
NOTEDMke pia unatakiwa umzidi urefu
Ndio ushambiwa ukweli wa mambo ni muda sasa wa kumbwaga andunje uje kwa mzabzab
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ushambiwa ukweli wa mambo ni muda sasa wa kumbwaga andunje uje kwa mzabzab
Ndio akikuzidi wewe atakunyanyasa maana atakuona kadogo kwakeMke pia unatakiwa umzidi urefu
Mimi mambo yote uliyotaja ninanayo ila ndoa haiko sawa!Nikuibie siri moja unaweza wewe ukawa sahihi kwa ndoa lakini usimpate mwenza sahihi!Kipimo cha upendo na usahihi wa mwenza utakiona mtakapopata matatizo makubwa!Sikufichi matatizo ni kipimo toshaUNATAKIWA KUMZIDI MKEO MAMBO (3).
1.Umri
2.Akili
3.Pesa
MKEO ANATAKIWA KUKUZIDI MAMBO MATANO 1.Subira
2.Upendo
3.Usafi
4.Maombi
5.Mipango
MNATAKIWA MUWE SAWA KWENYE MAMBO MATATU(3)
1.Maelewano
2.Uvumilivu
3.Heshima
WEKA MAONI YAKO KIPI KIMEKOSEKANA