Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 8,319
- 16,487
Nimejfunza jambo, thnxNaomba unielewe kitu kimoja. Mimi huwa naweka threads ambazo naamini kuwa zitawasaidia wana JF kwa namna moja au nyingine na sidhani kama kuna dhambi kujifunza mambo mbali mbali hasa urembo. Inamaana wale wanaume wanaofanya kazi za urembo masaloon ni wanyama? Wale wanaume wanaopita mitaani na kuwafanyia urembo wanawake na kuwapaka rangi kucha ni mijibwa? Amkeni. Mawazo yenu hayo potofu ndiyo yanawarudisha nyuma kimaendeleo kila kukicha. Wewe weka mawazo yako potofu ubaki nyuma kimaendeleo na sisi tunasonga mbele. Kama wewe hujaipenda thread hii ujue haikuhusu na ni bora ukae kimya kuliko kuharibu reputation ya mtu. Wapo wenye shida nayo ambao wataisoma na itawasaidia. Na hii message iwafikie wale wote ambao wanapinga thread zangu.
Dear mzima??
Youngmaster af analalamika kwamba facebook anatongozwa na wanaume..sasa kama huko fb ana post mambo haya watu si watashindwa kutofautisha kati yake na Rio?? umeona avatar yake hayo macho?? ha ha jaman!!
ha ha ha!! Brother..dont take me wrong..mi sipingi wala nini thread zako bana..ujue nimejikuta nacheka tu ghafla,..pole kama nimekukwaza aixee..ha ha!!
Nimejfunza jambo, thnx
Dear mzima??
Youngmaster af analalamika kwamba facebook anatongozwa na wanaume..sasa kama huko fb ana post mambo haya watu si watashindwa kutofautisha kati yake na Rio?? umeona avatar yake hayo macho?? ha ha jaman!!
We kila siku unakuja na post za kike-kike zaidi.
Kesho utaleta ya namna ya kuchagua wanja na lipstick.
Young Master, hivi bado unakwazika kwa utani wa wana JF?
I was just pulling your legs my friend, relax (I talk for myself)
Binafsi nimefurahia sana mada, na nimejifunza mengi.
Kuna siku nilimuuliza YM kwani yeye ni Boflo? Maana oh mara jinsi ta kutunza uso khaa mwanamme kweli huyu?
Kuna siku nilimuuliza YM kwani yeye ni Boflo? Maana oh mara jinsi ta kutunza uso khaa mwanamme kweli huyu?
We kila siku unakuja na post za kike-kike zaidi.
Kesho utaleta ya namna ya kuchagua wanja na lipstick.
YM,
Asante kwa uzi huu, nimefurahishwa nao pefyum zinatakiwa zitofautiane ya ofisini, nyumbani, au chumbani ukiwa mpenzi wako. utakuta mtu yuko ofisini amejiweka na pafyum kali hadi watu wanapiga chafya! unapotoka out kuwa na tofauti na harufu ya mchana (ofisini) hali kadhalika huko chumbani na mpenzio mpe ladha tofauti na ya mchana ili muweze kuburudisha akili na nafsi.
Muwe mna2mia akili siku Nyingine.
1. Ukienda Saloon mnapambwa na Wanaume
2. Mnapakwa rangi na Wanaume
3. Hotelini Mnakula chakula cha Wanaume
4. Viwandani Perfume zinatengenezwa na Wanaume
Sasa iweje leo YM alete Uzi hapo wa kukuelimisha uanze kusema Mambo ya Kike kike
ha ha ha! ngoja nisepe kwenye hii thread..mana nimeshamkwaza YM..so sorry dawg!! nisamehe buree!!
We kila siku unakuja na post za kike-kike zaidi.
Kesho utaleta ya namna ya kuchagua wanja na lipstick.
Hehehehehe, umeifufulia wapi hii thread?Kwani ni dhambi kuandika mada za kuelimisha wanawake?
Hehehehehe, umeifufulia wapi hii thread?