ilikuwa raha sana uone mwenzako anateswa lakini sio wewe. nakumbuka Iyunga kuna jamaa alikuwa anakupa shs 50 anakuambia ukalete mswaki, dawa ya meno, maandazi na chenji ibaki. ole wako usilete, utaacha shule!!!
huu utaratibu ulikuwaga unyanyasaji mbaya sana. kuna wengine walikuwa wanaacha shule kuogopa mateso.