Tena ungekuja kabla PIA Mh. Makonda hajahimiza safisha safisha ya jijini Dar... ungekimbia kwa hewa nzito na uchafu. Sasa hivi imepungua sanaaa, na watu wengi wamejua kujali usafi maeneo yao.
Kuna mengi mengine mazuri ametenda, furahia mji wa kiongozi jembe
Nilipokuja kwa mara ya kwanza kipindi stend kisutu,kwanza nilishangaa mambo makuu mawili au matatu mosi- mishkaki mitatu mia,vijinyama vidogo vidogo unaambiwa mishkak daaah nilishangaaa sana,,na eneo hili hata kuona watu wakinywa supu ya mataputapu ya mapupu barabaran tena pemben ya mtaro wa maji machafu...au wale wanaozunguka jiko wanakula makende ya mbuzi na mbwa,daaah nawashangaa mpka leo.
Pili-sikuwah kuona watu wanagombania magar mpka kupitia dirishan,,ilikua kama movie flan ambayo naifurahia kila mara,nilipokuja kuzoea nikaona kumbe ndio dar ilivyo..
Malaya maeneo mbali mbali jijin,,kuanzia town mpka nje ya mji,,nilipigwa na butwaa watu wanakwenda kuchapana kwenye makaburi pale kino,,,au wanachapana kwenye gar mnaona kbsa gar linavyocheza bampini,kiukwel niliona dar sio sehem salama sana kimaadili,ila yte kwa yte nimekua sasa na nmeona mengi zaid. Wakati huo niliitwa wakuja ila sasa naitwa mkazi... Bado najivunia kua mwana kaskazin kati ya mikoa miwil A town na Mosh Town,,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.