gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,914
- 3,026
Uku tupo vizuri lazma tu dinyane asubh na usikunchi za africa mbona wangevunja rekodi
Uku tupo vizuri lazma tu dinyane asubh na usikunchi za africa mbona wangevunja rekodi
haya asanteNice Leo umekuja na mada tofaut
Teh teh teh....Mkuu yaani wengine wangekuwa wanaanguka hata kabla hwajapigwa ngwala.
Lakini unakuta huko masela wanakaza ile mbaya, Mwanamke anaeza kata ngwala wanaume 10 afu asianguke hata mmoja