Mambo ya kusaidiana na wife....

Mambo ya kusaidiana na wife....

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

11709551_10152894876026599_786025148176413918_n.jpg

​
 
Siku moja moja? Kwanini sio kila siku?

Kwanini watoto wakiwepo asifanye?

Ndio siku moja moja. Hivi unawajuwa baadhi ya wanawake wa kitanzania au unawasikia.anaweza akakuingiza kwenye ratiba kabisa ya kupika. Watoto wakiwepo ni kazi yao sasa kumsaidia mama yao.siyo baba tena.
 
Kwani kukiwa na ratiba ya kupika kuna shida gani?

Watoto wakiwa wadogo under 7 nani anamsaidia?
 
Kwani kukiwa na ratiba ya kupika kuna shida gani?

Watoto wakiwa wadogo under 7 nani anamsaidia?

Watoto wakiwa wadogo nitamtafutia mtu kama mwenye jina la avatar yako.otherwise kupika hawezi aende kupumzika kwao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom