kabla hujao kama mwanaume lazima ujue mambo yafuatayo
- Watatokea wanawake wengine wataonyesha nia ya kukutaka ukiwa kwenye ndoa
Wakati ukiwa umeoa watatokea wanawake ambao wamemzid mkeo kila kitu uzuri, smartness, na kindness ni vizuri ukalifahamu hilo kabla ya kuoa, kwanin nasema hivi kuna mto uzi moja amesema alimsaidia mwanamke mmoja kwenda kununua mafuta na anahisi yule mwanamke anampenda na akaongezea anajuta kwanin alioa mapema ni moja ya vitu vya kufedhehesha sana
- Mwanamke unayemuoa atazeeka na kupoteza mvuto
Uzuri wa mkeo wako au muonekano wake hauwez kuwa sawa miaka yote, kuna kipindi utaondoka ni wajibu wako kuendelea kumheshimu mke wako