Mke Kanunua line ya airtel amsurprise mumewe. Mume amekaa sitting room, mke akaenda jikoni akampigia mume na number mpya akasema, "hallo darling," mume hakuijua number akajibu kwa sauti ya chini, "kata nitakupigia...hii ngombe yangu iko jikoni."

Ningependa nijue mwisho wake ilikwendaje???:mod: