Mambo ya kufanya pale mtu unayemzimikia hana feelings kabisa na wewe

Hiyo namba 6 Sasa duuuuh!!! inakujaga outomatic tu jamani. Kumsahau mtu ulompenda sana ni ngumu mnoooooo. Sijui hata kama inawezekana.
 
Hiyo namba 6 Sasa duuuuh!!! inakujaga outomatic tu jamani. Kumsahau mtu ulompenda sana ni ngumu mnoooooo. Sijui hata kama inawezekana.
Nasubiri njia za ku deal na mtu aliyekutema halafu yeye ndio ana feel ovyo ovyo kukutema

Kama unazo nishirikishe

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Nasubiri njia za ku deal na mtu aliyekutema halafu yeye ndio ana feel ovyo ovyo kukutema

Kama unazo nishirikishe

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Hahhaaaa!! Yaani yeye ndio kakutema alafu tena anajisikia hovyo hovyo!!!
Bsi alikupenda sana wewe ndio ukawa hausomeki, ikabidi tu akuteme usimkabe.
 
Ni kweli mkuu, hali kama ilishawahi nitokea nilisota, ila ilifikia kipindi kikakaa chini nikaangalia mbele naona giza tu, aisee ilibidi nichukue maamuzi magumu, kimya kimya sana hadi nikamusahau.
 
Hahhaaaa!! Yaani yeye ndio kakutema alafu tena anajisikia hovyo hovyo!!!
Bsi alikupenda sana wewe ndio ukawa hausomeki, ikabidi tu akuteme usimkabe.
Hapana

Alipendwa sana , lakin hakuwa committed, kila siku anasema waachane, siku ya siku, mwenzake naye akasema poa isiwe kesi ngoja tuachane, baada ya siku 2 tatu yule aliyetoa wazo la kuachana anasema awezi kulala kwa amani , anahisi kama yupo hell.

Hapo nani mwenye shida kati yao.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
dah IMENIGUSA SANA
kuna demu nilimfatilia tangu sijabalehe hadi najitambua ila alinitema mubashara yaani... iliniuma sana ukizingatia nilikuwa namkubali yule manzi Kinoma lakini mimi aliniona bonge la fala
nikakubali matokeo na kiukweli nikayazingatia hayo yote ambayo umeyaorodhesha mkuu lakini kinachoniuma zaidi yeye kuja kuwa na muhuni tu ilhali mimi nilikuwa mnyenyekevu sana kwake, ni kitambo kimepita ila bado namkumbuka sana japo nilipatwa na hisia tangu hata sijatambua mapenzi ndo nini ila nilimpenda tu lakini ndo hakuwahi kunipa hata matumaini,,, na kunichezeshea vya mbavu.. imeniuma sana ila nashukuru nasahau yote
Ishi vizuri PJ
Naona umeweka na jina lake PJ "Pendo Johnson"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana

Alipendwa sana , lakin hakuwa committed, kila siku anasema waachane, siku ya siku, mwenzake naye akasema poa isiwe kesi ngoja tuachane, baada ya siku 2 tatu yule aliyetoa wazo la kuachana anasema awezi kulala kwa amani , anahisi kama yupo hell.

Hapo nani mwenye shida kati yao.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Hahahaaaa!!
 
Back
Top Bottom