Maeneo ya madada poa ni ya kukaa nayo mbali aisee,yana mambo mengi,ukitaka mzigo we nenda kwenye bar kubwa,wahudumu wote wapo sokoni,na kama hayupo sokoni anaweza kukuunganishia mtu.pia mitandaoni wapo.kikubwa mkielewana wewe ndio umpeleke chimbo,sio yeye akuongoze wewe utaumiaHiyo ya kupita sehemu za madada poa ilishanikuta. Nilipaki gari maeneo yao nikisubiri mtu fulani. Mara ghafla defenda iyoo. Wakafika na mikwara yao chap nmeshapigwa pingu ( ndiyo ilikuwa mara ya kwanza kufungwa pingu). Nilikoma nao huku nikijiamini sina kosa lolote
Maana wao walidai nilikuwa nafanya mapenzi ndani ya gari na wadada poa ila walivyokuja akakimbia. Mimi niliwauliza ushahidi wa tuhuma yao wakawa wanajing'ata ng'ata tu. Tulienda hadi kituoni wakinitishia kunilaza ndani hadi J3 ila mimi nikaona poa tu maana haiwezekani mwanaume unafikisha miaka 30 hata hujawai kulala maabusu. Ila ujasiri na kutojali mikwala yao uliwashangaza sana hata kwenye kauta ya kituo hawakunifikisha. Wakaniachia tu hapo nje kuwa nisiendelee kuwapotezea muda
Hata mia mbovu hawakupata.
Ila all in all nilijifunza hao jamaa ukiwa muoga wanakupanda kichwani.
Usikariri mzee,Hiyo ya kupita sehemu za madada poa ilishanikuta. Nilipaki gari maeneo yao nikisubiri mtu fulani. Mara ghafla defenda iyoo. Wakafika na mikwara yao chap nmeshapigwa pingu ( ndiyo ilikuwa mara ya kwanza kufungwa pingu). Nilikoma nao huku nikijiamini sina kosa lolote
Maana wao walidai nilikuwa nafanya mapenzi ndani ya gari na wadada poa ila walivyokuja akakimbia. Mimi niliwauliza ushahidi wa tuhuma yao wakawa wanajing'ata ng'ata tu. Tulienda hadi kituoni wakinitishia kunilaza ndani hadi J3 ila mimi nikaona poa tu maana haiwezekani mwanaume unafikisha miaka 30 hata hujawai kulala maabusu. Ila ujasiri na kutojali mikwala yao uliwashangaza sana hata kwenye kauta ya kituo hawakunifikisha. Wakaniachia tu hapo nje kuwa nisiendelee kuwapotezea muda
Hata mia mbovu hawakupata.
Ila all in all nilijifunza hao jamaa ukiwa muoga wanakupanda kichwani.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]senge wew[emoji1][emoji1][emoji1]Ukitembea usiku hakikisha mwanaume hauvai suruali mlegezo na umekaza mkanda vizuri kwa ajili ya kuwa tayari na lolote. Epuka kuvaa viatu vya wazi (kobaz) zitakupunguza mwendo ukifika muda wa kuamsha rally na kina Bolt.
Yeyote atakae kusimamisha usikubali kusimama wala ukiitwa hata kwa jina lako usiitike kikubwa jiandae na marathon. Usitembee huku umeweka earphone kusikiliza muziki kwani itakufanya upunguze umakini.
HAKIKISHA UMEBEBA MAWE SIO CHIN YA 3 AMBAYO YAKIMKUTA ADUI KILA JIWE MOJA ANAZO NYUZI 6 KUENDELEA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hbr na comments za wizu moderetor wamefuta hazimo.sawa mkuu
Boda boda ndio hatari kabisa( sio wote) wakijua ratiba zako na mishe zako ndio wachora ramani na wauza ramani za matukioTujitahidi kuwa na dereva bodaboda hata watatu waaminifu na wanaojali muda na kuitikia wito haraka hii itasaidia sana, bodaboda mmoja ni kwa ajili ya huduma za nyumbani, mwingine kwenye harakati binafsi na mwingine kwenye mambo yetu
mawe[emoji23]Ukitembea usiku hakikisha mwanaume hauvai suruali mlegezo na umekaza mkanda vizuri kwa ajili ya kuwa tayari na lolote. Epuka kuvaa viatu vya wazi (kobaz) zitakupunguza mwendo ukifika muda wa kuamsha rally na kina Bolt.
Yeyote atakae kusimamisha usikubali kusimama wala ukiitwa hata kwa jina lako usiitike kikubwa jiandae na marathon. Usitembee huku umeweka earphone kusikiliza muziki kwani itakufanya upunguze umakini.
HAKIKISHA UMEBEBA MAWE SIO CHIN YA 3 AMBAYO YAKIMKUTA ADUI KILA JIWE MOJA ANAZO NYUZI 6 KUENDELEA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu,kama polisi wapo chimbo wamejibana wanakusikia unavopiga huu mkwara mbuzi si itakuwa balaa?Ukifika sehemu yenye historia ya vibaka tengeneza scripts hata kwa kuongea na simu ukiwa unaongea maneno haya
" ile kazi nimekamilisha na zoezi limeenda vizuri bila kuacha ushahidi. Na wala sikupata usumbufu katika kuitekeleza japokua walikua wajeda wenye mafunzo lakini niliwadhibiti.
Kutokana na usiku kua mkubwa naona hizi bastola nije nazo Kesho asubuhi napokuja kuchukua pesa yangu ya malipo nitakuja kukabidhi ambazo bado zina risasi mpaka muda huu "
Anawezaje kujitusu wakati kaishasikia kuna kundi la wajeda lenye mafunzo ya kutosha lenye silaha wameuawa na jeshi na mtu mmoko?Sasa mkuu,kama polisi wapo chimbo wamejibana wanakusikia unavopiga huu mkwara mbuzi si itakuwa balaa?
[emoji23]Ukifika sehemu yenye historia ya vibaka tengeneza scripts hata kwa kuongea na simu ukiwa unaongea maneno haya
" ile kazi nimekamilisha na zoezi limeenda vizuri bila kuacha ushahidi. Na wala sikupata usumbufu katika kuitekeleza japokua walikua wajeda wenye mafunzo lakini niliwadhibiti.
Kutokana na usiku kua mkubwa naona hizi bastola nije nazo Kesho asubuhi napokuja kuchukua pesa yangu ya malipo nitakuja kukabidhi ambazo bado zina risasi mpaka muda huu "
Usiruhusu watu wajue ratiba yako kwa undani. Wajue utarudi nyumbani saa ngapi haiwahusu.. wewe Ndiye unayewaweka kwenye ratiba yako Sio wao. Don't just trust everybody.. it's safe that way. Na usiage age Sana.Tujitahidi kuwa na dereva bodaboda hata watatu waaminifu na wanaojali muda na kuitikia wito haraka hii itasaidia sana, bodaboda mmoja ni kwa ajili ya huduma za nyumbani, mwingine kwenye harakati binafsi na mwingine kwenye mambo yetu
Hii ni njema kila mahali. Kama ni mtu makini lazima constantly ujue mazingira yako.. wakati mwingine Kuna viashiria vya kufuatiliwa na hatari unaweza kuvioverlook kwa sababu ya kukosa umakini tu.Namba 3 sio kibongo bongo labda mbele huko.
πππHAKIKISHA UMEBEBA MAWE SIO CHIN YA 3 AMBAYO YAKIMKUTA ADUI KILA JIWE MOJA ANAZO NYUZI 6 KUENDELEA