Mambo ya kuchati haya

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,024
Reaction score
59,685
Nimejifuta facebook

YEYE : " Jamani Baby nimeshafika muda mrefu nipo hapa kituoni nimechoka kweli Darling,juu nimevaa fulana nyeupe na chini nguo ya pinki,jaman I miss you my Baby come please!!!"

MIMI:"Waooh! Ok nimekuona Sweet heart nakuja,nisubiri hapo hapo,umependeza kweli Mpenzi,I cant wait hugging U!"

Kisha nikakata simu na kuparamia daladala linapokwenda sijui, kichwani najiuliza mbona sio yeye, picha aliyoweka Facebook ni tofauti na alivyo, NIMEKOMA!!!
 
Astakhafirullah!! I would've jump'd on an ambulance.
 
Mbona mzuri tu jamani.....Umbo la mwanamke ni jinsi unavyolipatia lol. Au hiyo stomach protrusion ndo imekutisha?

Swali la kizushi, ulipata na mda wa kumfoto?
 
Aisey!
Penye wajenzi hamna miti !
Mbona kamrembo kapo portable? Flexible ! Atractable ! Sexible ! Magnetable!
Btw warembo dizaini hizo ni mostly scarcity! Mi hapa nafsi ishanipaa!
Mwasi mususu kitoko!
Toto limekaa kiiEthopia babaake!
 
Shem puliiiz.......kuna uEthiopia hapo kweli.......?
 
Jamani huyo ni shoga kabisaaa
 
Aisey!
Penye wajenzi hamna miti !
Mbona kamrembo kapo portable? Flexible ! Atractable ! Sexible ! Magnetable!
Btw warembo dizaini hizo ni mostly scarcity! Mi hapa nafsi ishanipaa!
Mwasi mususu kitoko!
Toto limekaa kiiEthopia babaake!

hahahahahaha.
 
Nikupe namba?
 
Hapo aise ningewekwa sambamba na Bolt hakika ningemshinda kwa mbio
 
Shem puliiiz.......kuna uEthiopia hapo kweli.......?

Yaani hujauona? Najua wanawake hampendanagi !
Btw huyo mrembo akiingia himayani mwangu, my first award to her nam'baia Banga pembezoni mwa Ziwa Vicky!
 
Yaani hujauona? Najua wanawake hampendanagi !
Btw huyo mrembo akiingia himayani mwangu, my first award to her nam'baia Banga pembezoni mwa Ziwa Vicky!

Itakuwa unataka kumtumia kwa maslahi yako binafsi kwa kuwekeza katika utalii, wengi tutakuja kumuangalia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…