mambo ya Ku order online hayoo

kuna kiji mtandai hao UG , walitangaza trousers kali kweli za jeans na mimi ndio ulevi wangu, tena waka weka picha za jeans designer kabisa.... nikafanya order nikalipa waka deliver kwa rafiki yangu kampala mimi naish ushago hapa... jama alivyonitumia kwa Bus , kimuhe muhe balaa .... kwenda fungua nusu nilie na utu uzima huu... maana ni kama zile za tengeta zile wazipendazo ndugu zangu mwakeye kabla hawaja janjaruka... mpaka leoo ziko kabatini tu
 
Sasa kabatini unaweka za nn mkuu wape ambao wanaweza kuzivaa
 
hahahahaha
 
Ndo madhara ya uchoyo.unainunia mpaka jinsi...si gawia hao hao uwasemao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…