Chibike
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 4,910
- 7,562
Katika hali isiyokuwa ya kawaida afisa mmoja wa polisi Tarime mkoani Mara ameshambuliwa na nyuki hadi kupoteza maisha akiwa kwenye mgahawa wa chakula mjini Tarime, tukio hilo lilitokea siku ya jumamosi Disemba 6 mwaka huu kwenye moja ya migahawa maharufu mjini hapa, hata hivyo chanzo hakijabainika ingawa tukio hilo linahusishwa na ushirikina, inasemekana muda mchache uliopita kabla ya tukio hilo askari huyo alimshambulia kijana mmoja aliyevalia fulana yenye kuhamasisha maandamano ya tarehe 9 disemba, kamanda wa polisi kanda maalum tarime amethibitisha tukio hilo na kusema uchunguzi wa tukio hilo unaendelea.
Mnajua wakat mwingine nashangaa mnahangaika na mtu mwenye silaha,, wewe pata majina matatu ama mawili ya mtu huyo unaehisi amekutesa/kuua ndugu yako asie na hatia n.k, pata picha yake basi ..funga safari...au kaeni kikao kama familia kila mtu awweke mchango wake ...Yani ni pesa ya kwenda kufanya maangamizi kwa mganga..halafu msikilizie majibu.