Nimemsikia sofia simba akiwakanya kiupoleeeeee.......leo BBC...nikasema shezny zake!! eti wavae kistaarabu na watoto wasiruhusiwe.........my foot!!badala ya kupiga marufuku ----- huu kwa nguvu zote..nway nani asiyejua huwa wanawaburudisha hadi hao wabunge