chakufia nini
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 692
- 456
Beki tatu huwa wana maudhi ya makusudi...
Ukimwambia pika wali nazi si ajabu ukakuta nazi nzima imewekwa ndani ya wali...
Beki tatu huwa wana maudhi ya makusudi...
Ukimwambia pika wali nazi si ajabu ukakuta nazi nzima imewekwa ndani ya wali...
Sio tuna makududi, uelewa wetu ndo unakua umeishia hapo
HahahahahaaAA kuna haja ya kuchagua angalau aliyosoma hadi drs la 7 maana ni aibu
Sio dawa niliwahi kuwa na aliyemaliza form four lakini mambo yake yaliniacha hoi, tulikuwa na sherehe ndogo home sasa kuepusha usumbufu wa kuosha vyombo tukatumia disposable plates vijiko, nyuma na glass, sherehe ilinoga mpaka saa tano usiku hivi wageni wakatawanyika sisi tukalala
Huku nyuma mdada hakulala aliosha disposable zote kuamka asubuhi weee acha tu nilicheka mpaka nikakaa chini
Au mwambie apike wali na kuku mzima uone maajabu yake
Kuuliza si ujinga...
Uelewa unapoishia mahali ndio mwanzo wa kuuliza ili kuuendeleza zaidi huo uelewa...
Hahahahahahaa hii kali kuliko!