Mambo ya geto!

Naomba kuelimishwa, hivi hii term Masaburi maana yake ni nini? Ni msamiati mpya? Kuuliza siyo ujinga.
Ni sehemu ya nyuma ya mwanadamu inayotumika kukalia na ndani yake kidogo kuna tundu linalotumika kutoa waste material katika mwili wa binadamu.
 
Sasa mbona laptop yenye imefungwa (funikwa)
 
Muda si mrefu ita heat kutokana na joto la south africa(makalioni)
 
Naomba kuelimishwa, hivi hii term Masaburi maana yake ni nini? Ni msamiati mpya? Kuuliza siyo ujinga.
...Neno jipya limetoholewa kama kawaida yetu waswahili...linamaanisha ******. Karibu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…