SirSuleiman
Member
- Jul 6, 2015
- 80
- 8
Namba mbili hapo? Kumjua mungu mara moja? Unamanisha ile kumjua mungu kwa kwenda kusali ijumaa/jpli?
Mkuu fanya marekebisho hapo.
Mkuu unapoteza Mda wako tu,Hakuna Mwanamke Mwenye Hizo sifa zote Hapo Juu
,Mathalani sifa ya 5 na ya 10 Zinapingana.Huwezi kuwa Mchapa-kazi na wakati Huo huo Ukawa Mtulivu.
Atakayejitahidi sana,anaweza kuwa na sifa 5 tu kati ya Hiz😵therwise tafuta Majini

Huruma ata kwa rafiki majirani.atakufaa.maana kuna wale waitwaga mama huruma.nawapendaga sana.
Hiyo namba sita ni ngumu Kwa hiki kizazi
Lakni inawezekana
Haiya...
Inawezekana.kumbe hata uhakika huna
Kila mtu anatabia zake. Ukiamua muone tu.....