Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,525
Kuna jamaa alipewa shilingi 3987698237982...acha uvivu, najua hujasoma ni kiasi gani hicho cha fedha na mbaya zaidi hujagundua kwamba katikati ya namba hizo kuna herufi T...safi sana, najua umeangalia tena kuiona hiyo herufi, bahati mbaya hujaiona.
----->> samahan kwakukuletea ujinga
Umezawadiwa hasira za ghafla
----->> samahan kwakukuletea ujinga
Umezawadiwa hasira za ghafla