Mambo ya facebook!!!!!

Mambo ya facebook!!!!!

Ndo km hao
 

Attachments

  • 1393352909316.jpg
    1393352909316.jpg
    14.1 KB · Views: 254
hahahhaaaa Mimi ni Singo Mani, so we know how to get through!!!!

CC: MANI
Mmmmh Elli kuna siku kaniambia anatoka honeymoon yeye au nae anadanganya lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
jamani sijui tuwafiche wapi watoto wetu
kwani facebook, instalgram, twitter na whatsapp
zinawaharibu maana mpaka wanafeli mitihani
muda mwingi wako na visimu, vilaptop hawasomi
kabisa na hawana chochote cha kujenga zaidi ya
kuwabomoa akili zao sijui tufanyeje INANIUMA SANA
 
Back
Top Bottom