Ukweli upo tena sana tu,niaminvyo mimi wakati wa valentine wengi huuona kama wakati wa kufanya uzinzi,na ndio maana wengi hujikuta na watu kwa ajili ya tamaa na sio mapenzi ya dhati na hivyo kufikia hiyo novemba mimba zinanza kukimbiwa kwani yale mapenzi ya kumuadmire mtu ya feb14 yanakuwa yameisha kwa wakati huo.
kIZAZI CHA DOT COM
View attachment 83031
Sasa wewe una maadili gani?Bora nimechelewa kuitambua; picha kama haiko kimaadili mkuu, sijui upande wako lakini
Sasa wewe una maadili gani?
kIZAZI CHA DOT COM
View attachment 83031
wanaume wengine cjui wakoje