Mambo ya Facebook yanachekesha ila full Ukweli

Mambo ya Facebook yanachekesha ila full Ukweli

Si muambiane tu kuwa issue ni kula maraha and not kubimbishana tumbo? Halafi siku hizi mambo na ndomu tu unatoka wapi kumpata one night stand bila beki?

Ukimwambia kula raha dhubuti, papuchi hupati labda ukanunue night.
 
When you grow up, you can have valentine anytime you want at your own convinience. Ni kama kuvaa nguo mpya siku isiyo krismas, ama kula pilau bila sikukuu. Wazee hatuelewi haya makitu, kila la kheri vijana.

Ila king'asti mbona Valentine inahusu kuwapenda watu wasio na wa kuwaonyesha upendo kama watoto yatima, wazee, wagonjwa n.k, nimeisikiliza leo kwenye redio nikagundua kumbe tulikuwa tunakosea. Embu nawe nipe japo uzoefu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom