englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Hii kitu noma nimefika pale juu!!
Nlikuona mkuu,ulivaa tishert ya bluu na jinsi savco
Nlikuona mkuu,ulivaa tishert ya bluu na jinsi savco
Eeh nikiwa pale shaarijah
Kwani alikuwepo naye? Mimi nilikuona wewe na Kibo10 tu.Ngekewa mkuu ndugu yangu,kumanisha nawe ulikuwepo? Ulikua na mkuu matayo