Mzalendo Mkuu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 735 Reaction score 191 Apr 29, 2012 #1 Wapendwa, nipo Dar Live angalau kupunguza machungu ya ufisadi. Hapa mahali pazuri ila mambo yanaanza late. Tuliokuja na watoto wanakuwa hawana cha kufurahia. Wanahitaji kufanya marekebisho angalau kuwa TOTO DISCO.
Wapendwa, nipo Dar Live angalau kupunguza machungu ya ufisadi. Hapa mahali pazuri ila mambo yanaanza late. Tuliokuja na watoto wanakuwa hawana cha kufurahia. Wanahitaji kufanya marekebisho angalau kuwa TOTO DISCO.
Mzalendo Mkuu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 735 Reaction score 191 Apr 29, 2012 Thread starter #2 Hapa palivyo pa wazi, leo mvua yetu na jua letu.
Mzalendo Mkuu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 735 Reaction score 191 Apr 29, 2012 Thread starter #3 Toto Disco imeanza saa nane hii na mambo sasa yanapendeza.
Mzalendo Mkuu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 735 Reaction score 191 Apr 29, 2012 Thread starter #4 Baadaye mambo yalienda vema sama. Tulipata burudani tuko Undergrounds, mchiriku toka Manzese, bendi moja ina mzungu then wakaja Chuchu sound
Baadaye mambo yalienda vema sama. Tulipata burudani tuko Undergrounds, mchiriku toka Manzese, bendi moja ina mzungu then wakaja Chuchu sound
Mzalendo Mkuu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 735 Reaction score 191 Apr 29, 2012 Thread starter #5 Ilipofika saa 12.45 jioni Helkopta ya Diamond ilitamba anga za Mbagala. Ilipiga mkwala ikapita hapo Dar live mara tatu hivi
Ilipofika saa 12.45 jioni Helkopta ya Diamond ilitamba anga za Mbagala. Ilipiga mkwala ikapita hapo Dar live mara tatu hivi
Mzalendo Mkuu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 735 Reaction score 191 Apr 29, 2012 Thread starter #6 watu tulipagawa sana LAKINI hakushuka ukumbini kama ilivyotangazwa. Ukora? Hata hivyo alitua uwanja wa hapo karibu.
watu tulipagawa sana LAKINI hakushuka ukumbini kama ilivyotangazwa. Ukora? Hata hivyo alitua uwanja wa hapo karibu.
Mzalendo Mkuu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 735 Reaction score 191 Apr 29, 2012 Thread starter #7 saa 12.05 tukatangaziwa kuwa wenye watoto tuondoke muda wa watoto kuwa pale ulikuwa umekwisha. Tukaondoka bila ya kumuoma Diamond.
saa 12.05 tukatangaziwa kuwa wenye watoto tuondoke muda wa watoto kuwa pale ulikuwa umekwisha. Tukaondoka bila ya kumuoma Diamond.