Mambo ya DAR LIVE jana!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya DAR LIVE jana!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by MBWA HARUKI, Sep 10, 2012.

 1. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naona hiyo ya kushoto bolt zimelegea, oil inavuja!!
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Tehe tehe!
   
 3. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwenye uwezo kuikuza hiyo picha afanye msaada
   
 4. m

  maselef JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakati mwingine twaweza kuja kuhukumiwa na Mungu kwa kazi tulizokuwa tunazifanya duniani hata kama zilikuwa zinatupatia mkate wa kila siku
   
 5. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hukumu ni pale pale mkate unakuhusu wewe na tumbo lako.
   
 6. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Tushukuru Mungu sana kwa vile tulivyo. Kazi zingine ni ngumu mno hatuziwezi.
   
 7. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kuna hukumu zaidi ya hiyo anayoipata hapo!?
   
 8. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naweza kupata majina yao ili nimtumie ally kombo ili atufahamishe ni wa upande gani?

  Na atueleze pia ikiwa sensa yetu tukufu ingewekwa kile kipengele chetu pendwa, wangehesabiwa upande upi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. awp

  awp JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 10. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nini cha ajabu hapo?
   
 11. awp

  awp JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  sasa huyu jamaa si angevaa pedi?
   
 12. f

  fakisi Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Duh! sura zimewakomaa...
   
 13. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ..................ndio maana wa 'kwetu' hatutaki wafunuliwe wala wazurure ovyo ! kibaya zaidi faida yote inaenda kwa mwanaume, kiburudani na, kipesa. ili ujue jambo hili si zuri,mwenye bendi hawezi kumuweka hivyo dada yake, mama yake na mkewe !
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Maisha ni kutafuta sio kutafuana
   
Loading...