mambo ya dada wa kazi

Hahahahahahaha,,
Heheheheheheheheeeeeee....
Huyo namwongezea mshahara.
 
Huyu dada wa nyumbani atakua kama wakwangu hapa alipalia mayai mkaa kama ubwabwa.
 
Atakuwa anaelewa maana ya 'thara klinlinesi' . Namuongezea mshahara
 
Dada kama huyo anajua kazi! Unachotakiwa kumpa ni maagizo na maelekezo sahihi wala hana shina ni mchapakazi msikivu na muadilifu
 
Tatizo tunadhani hao wadada wana uelewa kama wetu.

Ni funzo kwamba tuwe tunawapa maelekezo yasiyo na utata!

Babu DC!
 
Hehehehe dah mbavu zangu !! hata sikoment hapa , dada wa kazi achelewi kunifua akanianika... :clap2:
 
ni kumwelekeza tuuu!!!
ila sasa wengine ndio wakishaelekezwa inakuwa balaa! siku moja nilikuta nguo zimeharibika rangi hazieleweki manake zilichanganywa kwenye washing machine kanga, tisheti, mashuka, viatu vya mtoto............! nilibaki kucheka tu!
 
Hehehehe dah mbavu zangu !! hata sikoment hapa , dada wa kazi achelewi kunifua akanianika... :clap2:
hahaha angalia asikuloeke na jiki ili utakate na madoa yatoke....
 
wanakuaga na vituko hadi raha. tena ngoja nirudi home nimepigia simu kuwa nimeletewa mdada. Hii hatari sio ajabu kesho chai itiwe chumvi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…