donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Mexico walisitisha utengenezaji wa beer hizo na wamekula hasara kubwa sana
Yaani non essential sasa hivi hazina soko tena duniani
Kweli dunia itabadilika sana
Sent from my iPhone using Tapatalk
We kweli dudu, yaani una quote quote tu bila kusoma unachokoti kisha unahoji kitu ambacho jibu lake lipo humo ulipokoti
We kweli dudu, yaani una quote quote tu bila kusoma unachokoti kisha unahoji kitu ambacho jibu lake lipo humo ulipokoti
Duuh nimecheka kwa nguvu.We kweli dudu, yaani una quote quote tu bila kusoma unachokoti kisha unahoji kitu ambacho jibu lake lipo humo ulipokoti