lol...... mambo ya tezi dume hayo.
mshituko
by the way hulali?
usingizi umekata...nahitaji mahabuba wa kunibembeleza...!!!
mmmh pole sana
asante....kutakucha tu!!!
mwenuewe unakuja kwa shida
hahah...kumbe tupo wengi, i bet utakuwa umelala sasa!!!
nilipitiwa na usingizi hahaha acha tu jamii forum inatuokoa
Hebu cheki hapa.
Halafu umenikumbusha leo nitazuka pande hizo