Mambo ya Cameron na Umaskini wa Africa!

Mambo ya Cameron na Umaskini wa Africa!

Zed

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2009
Posts
547
Reaction score
529
cartoon061111.jpg
 
Yah! Mkuu,kama rasilimali unazo za kutosha hasa TZ ni sawa na mtu mwenye viungo kamili na akili timamu kisha anaomba msaada,unategemea nini,lazima WAKUPUMULIE ndio upate mshko.Huwezi kula mpaka uliwe......yakhe!
 
  • Thanks
Reactions: Zed
Mambo ya pwani hayo yakhe bila kupumuliwa kisogoni hamna msaada, full stop.
 
prezida sijamsikia akisema lolote sasa sijui ana mpango, au nae anataka watu wapumuliane tu
 
Back
Top Bottom