SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,380
😀😀😀😀Hivi kukaa bila kuwataja Wahaya mnaona mtakufa sanaa ???
😀😀😀😀Hivi kukaa bila kuwataja Wahaya mnaona mtakufa sanaa ???
Taifa kubwa ndo huwa linatajwa tajwa😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Sijui tumewakosea nini hawa watu ??
Hahahaha umenikumbusha She angu mmoja nyuma huko ,haaaaa yule mwanamke ilikua balaaa mashuka yanalala ,kava ya godoro inaloa ,alafu bongeeeeeee la mduara katikati ya godoro... Namm napenda kulala na boxer tu.
Mtoa mada ,can you imagine pozi nilikoa nalala ??maana ile mimaji nilikua spendi kuigusa wakat wakulala....

Aisee..ngoja nianze kubugia nyanya chungu