Mambo Ya Bongo Fleva Hayo

Hapo ndipo ninapojiuliza swali moja ambalo huwa nakosa majibu, mwanaume kavaa suti na tai juu we mwanamke unaenda kuvaa chupi!! Hiyo ni akili kweli??

Hata shooting za nyimbo zao ziko hivyo hivyo then hao hao wanasimama majukwaani eti wanalalamika wanadhalilishwa na wanaume!! Dooooh....!!
 
Mbali na kukoment kwanye thread kama hizi lakini huwa sipendi hata kuziangalia japo ulichoandika kimenigusa sana.
Tunakuwa 'tunawacheka' wasichana/mama wa visiwani lakini wao wanajitahidi kulinda dignity yao na wanafanya hivyo kwa sababu wanajitambua na kujiamini. Wa huku bara walishakuwa brainwashed na wamebakia kwenye kutembea uchi, mawigi na mikorogo.
Na ndio maana, hadi sasa hajajitokeza hata mama mmoja kugombea nafasi ya kuingia ofisi kuu bali wote wanasubiria viti maalumu. Hata na hawa kwenye picha wanaishia kuzawadiwa vyeo na vitz 'maalumu'.
 
Aisee huyo wa kushoto amebinuka vizuri ukimkamata unapiga mzigo sawa sawa
 
Aisee huyo wa kushoto amebinuka vizuri ukimkamata unapiga mzigo sawa sawa

Kaka umenichekesha saaaana hasa nikilinganisha uchangiaji wa hao wawili waliokutangulia na wakwako, hii ndio jamiiforum bana!
 

wanasubiri viti maalum....Mwanaume atabaki kuwa mme na mwanamke yake ni ke.....wanalilia usawa upi?ukiambiwa kaa uchi tufanye shooting unakaa uchi kama unajitambua utakaaje uchi?
 
Mchizi kaificha wapi dushe. Au ndo kujikaza kisabuni
 
samahani ni tanzania hiyo? halafu huyo mwingine mbona hereni yake ni kama alama ya...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…