Citizen B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 6,804 Reaction score 9,410 Dec 10, 2020 #21 CreditAnalyst said: Kwani Allahu Akbar maana yake Nini?... Maana yake Mungu Mkubwa.. ukivyotaja jina la Mungu nikastuka...Au ulijisikia kuandika usichokijua Citizen B Click to expand... Mbona mimi sijaandika hivo?Au unanichanganya na mtu mwingine Sent using Jamii Forums mobile app
CreditAnalyst said: Kwani Allahu Akbar maana yake Nini?... Maana yake Mungu Mkubwa.. ukivyotaja jina la Mungu nikastuka...Au ulijisikia kuandika usichokijua Citizen B Click to expand... Mbona mimi sijaandika hivo?Au unanichanganya na mtu mwingine Sent using Jamii Forums mobile app
Quetzal JF-Expert Member Joined Dec 9, 2018 Posts 6,345 Reaction score 10,840 Dec 11, 2020 #22 Citizen B said: Mbona mimi sijaandika hivo?Au unanichanganya na mtu mwingine Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuuu...inakusaidia Nini kubishana na ukweli....Khaaaa... Sasa unachopinga kipi..wakati comment yako Ni ya kwanza Kabisa..happo.juu ...inasikitisha
Citizen B said: Mbona mimi sijaandika hivo?Au unanichanganya na mtu mwingine Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuuu...inakusaidia Nini kubishana na ukweli....Khaaaa... Sasa unachopinga kipi..wakati comment yako Ni ya kwanza Kabisa..happo.juu ...inasikitisha
USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 11,955 Reaction score 28,191 Dec 11, 2020 #23 Mungu ni mkuu unaweza ukawa makubwa tu bila mamlaka wala nguvu .ukuu ni zaidi ya ukubwa CreditAnalyst said: Kwani Allahu Akbar maana yake Nini?... Maana yake Mungu Mkubwa.. ukivyotaja jina la Mungu nikastuka...Au ulijisikia kuandika usichokijua Citizen B Click to expand...
Mungu ni mkuu unaweza ukawa makubwa tu bila mamlaka wala nguvu .ukuu ni zaidi ya ukubwa CreditAnalyst said: Kwani Allahu Akbar maana yake Nini?... Maana yake Mungu Mkubwa.. ukivyotaja jina la Mungu nikastuka...Au ulijisikia kuandika usichokijua Citizen B Click to expand...
Citizen B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 6,804 Reaction score 9,410 Dec 11, 2020 #24 CreditAnalyst said: Mkuuu...inakusaidia Nini kubishana na ukweli....Khaaaa... Sasa unachopinga kipi..wakati comment yako Ni ya kwanza Kabisa..happo.juu ...inasikitishaView attachment 1646737 Click to expand... Sasa mbona hata kwenye hiyo screenshot sijaandika Mungu ni mkubwa?
CreditAnalyst said: Mkuuu...inakusaidia Nini kubishana na ukweli....Khaaaa... Sasa unachopinga kipi..wakati comment yako Ni ya kwanza Kabisa..happo.juu ...inasikitishaView attachment 1646737 Click to expand... Sasa mbona hata kwenye hiyo screenshot sijaandika Mungu ni mkubwa?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,467 Reaction score 193,440 Dec 11, 2020 #25 Amejitahidi... Cc: mahondaw