Mambo ya Benpol

Hii nyimbo itatamba sana, kama anaweza kusimamia nyimbo hivi basi ana uwezo mkubwa wa kutingisha Africa katika fani hii na labda dunia.
Moja kati ya wasanii naowakubali kuanzia Muonekano,uimbaji,Self respect. Japo nowdays anaanza kua kama vijana wa wcb kupenda kick
 
Nimekuta wifi anarukaruka tu hata kucheza hajui....#gubulawifi
 
Nyimbo nzuri but haitokuwa hit .. cuz beat iliyotumika sio beat zinazo trend katika wakati huu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…