Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,130
- 4,390
hili la bangi kujiotea zinaota sana tu kama majani mengine, kuna watu wengine hawajawahi kuuona mmea huo na hawaujui, kumkamata akatoe maelezo ni kumuonea tuKwanini
Wakikuta eneo lako lina uwepo wa Dhaabu watadai ni Mali ya serikali ila Eneo hilo hilo Wakikuta Bhangi zimejioteaa ni za kwako na utatakiwa kushikiliwa na Polisi kwa maelezo zaidi ?
Bangi pia inajiotea, ndege wanaweza safirisha mbegu 🤣Dhahabu inajiotea ila bhangi inaoteshwa na kulimwa na binadamu..!!
Kwender huko 😹😹😹Bangi pia inajiotea, ndege wanaweza safirisha mbegu 🤣
Naapia na kulamba PAPA samaki, sina kabisa hizo mambo..🤣Kwender huko 😹😹😹
Halafu nyie fans wa 2pac ndo watumiaji wakuu wa hiyo midude..!!
Unaona hapo tayari ushalipuliza akili yote inawaza PAPA…. 😹😹Naapia na kulamba PAPA samaki, sina kabisa hizo mambo..🤣
Papa 🦈,mtamu, aliye msafi hana shombo kali, ana kaharufu fulani kaasili, chumvi kwa mbaaaaaali 0.005% huyu utamu mpaka kisogoni.Unaona hapo tayari ushalipuliza akili yote inawaza PAPA…. 😹😹
😹😹😹 Wewe umelipuliza bila kula..!!Papa 🦈,mtamu, aliye msafi hana shombo kali, ana kaharufu fulani kaasili, chumvi kwa mbaaaaaali 0.005% huyu utamu mpaka kisogoni.
Kupuliza na PAPA wapi na wapi.. papa inaendana na kula,kulamba, kuinyonya, kusugua harage. Maana wali PAPA bila HARAGE, bado PAPA hajanoga, HARAGE ni kama Catalyst..😹😹😹 Wewe umelipuliza bila kula..!!
😹😹😹 Maka em Kwender zako huko..!!Kupuliza na PAPA wapi na wapi.. papa inaendana na kula,kulamba, kuinyonya, kusugua harage. Maana wali PAPA bila HARAGE, bado PAPA hajanoga, HARAGE ni kama Catalyst..
Wasalaam🤣
Ardhi yote ni mali ya serikali we huna ardhi, unaelewa maana ya lease? Unapewa kutumia kwa muda maalum ndiyo inaitwa lease, ikiisha muda wake itabidi uombe tena. Kwa kuwa ni mali ya serikali yaliyo chini ya ardhi vyote ni mali ya serikali ikiwemo maji, mafuta, gesi, madini ya aina yote.Kwanini
Wakikuta eneo lako lina uwepo wa Dhaabu watadai ni Mali ya serikali ila Eneo hilo hilo Wakikuta Bhangi zimejioteaa ni za kwako na utatakiwa kushikiliwa na Polisi kwa maelezo zaidi ?
Utanikumbuka..,🤣😹😹😹 Maka em Kwender zako huko..!!