Mambo wanayopitia wadada kabla ya ndoa

Hatari sana mtungo mademu wengi wamepigwa sema basi tu wanasiri sana me nawajua mademu takribani kumi ambao waliwahi chezea mtungo na wengine ni wake za watu
 
Hasa mume mtarajiwa akiwa golden boy kwenye familia yao
Maana yake nini. Mimi mpaka naogopa mleta ex wangu Maana tumerudiana ila home wanajua mkasa ulivyptokea sipati picha dada yangu atakavyonisema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anamdomo huyo
 
Duu mbaya sana hiyo siku naye mwanaye akafanyiwa hivyo au dada yake atajisikia vipi.[emoji44]
Halafu nawe amwambie mmewe ili iweje! Huyo mtoto wakiume baada ya kumfanyie mwenzie alipata faida gani?
 
Maana yake nini. Mimi mpaka naogopa mleta ex wangu Maana tumerudiana ila home wanajua mkasa ulivyptokea sipati picha dada yangu atakavyonisema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anamdomo huyo
Mfano ni kama Diamond
 
Sasa wewe naye ulimtangazia shosti wako kwa bebi wako ili iweje??
 
Hivi kumbe na nyie hua mnapitia maumivu
Ngoja niusome uzi mpaka mwisho nijifunze aisee
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…