Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

kwa mtazamo wako ila kiukweli wanaume wajibikeni acheni kujificha chini ya mwavuli WA HAKI SAWA.. hii kitu never exist na haitakaa itokee.. ila kwa kuwa mnajidanganya ndiyo maana kuna wimbi kubwa sana la mario kwenye age 25-30s ni problem ... mwavuli wa haki sawa upo tu na ni mshazari hakuna reality na hautakaa ukutane
 
Unawezaje kusema unampenda mtu halafu humjali??
Kuna watu ni bahili sana hata kwa mkewe aliyemweka ndani,kula nyama mpaka sikukuu lakini kwa hawara sasa anavyozimwaga usiseme.
Papuchi ina nguvu hata mama yako unaweza kumsahau.
hao sasa siyo wabahili ni wachoyo... ukikutana na bahili my dear hata yeye mwenyewe kujihudumia ni shida acha kabisa
 
Muda huwa unafika thamani ya pesa haionekani katika penzi kama kweli kila mtu anampenda mwenzake kiukweli.
Naikumbukwe pia kuna wanawake huwa hawaombi hata pesa ya vocha lakini hapa mwanaume unajisikaje?
 
Sipendi mwanaume ambaye hajui wajibu wake mpaka aambiwe... Mf. Kutwa kucha anataka mchat lakinu vocha hatumi, Anaona unapendeza hajui hata bei ya lotion, nguo wala namba ya viatu....

Wanaume wapendezeshe wenzu wenu...
yani wantaka kupindua pindua mambo tu
 
Sipendi mwanaume ambaye hajui wajibu wake mpaka aambiwe... Mf. Kutwa kucha anataka mchat lakinu vocha hatumi, Anaona unapendeza hajui hata bei ya lotion, nguo wala namba ya viatu....

Wanaume wapendezeshe wenzu wenu...
charminglady, that's too low of you..!! Anyways, huo ni mtazamo wako. Nitakuwa na jukumu la kumpendezesha na kumjali mzazi wangu pindi sijaoa, siwezi kumpendezesha mtu ambaye sijui kesho yetu itakuwaje, ni ufujaji na matumizi mabaya ya pesa. Pendezeshwa na wazazi kwa vile bado upo nyumbani, jipendezeshe mwenyewe kwa vile una kipato na hujaolewa. Ukishaolewa hiyo ni story nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Sipendi mwanaume ambaye hajui wajibu wake mpaka aambiwe... Mf. Kutwa kucha anataka mchat lakinu vocha hatumi, Anaona unapendeza hajui hata bei ya lotion, nguo wala namba ya viatu....

Wanaume wapendezeshe wenzu wenu...

Wewe unajua wajibu wako?
 

Ukiona kwenye uchuma umeshindwa kutoa jua ukiweka ndani huna mabadiliko zaidi ndiyo utazidi tia ngumu ... any way ni mtazamo wako
 
Last edited by a moderator:

Sijaongelea mambo ya HAKI SAWA.., nilichosema ni kuwa wewe kama miss chagga unatakiwa kuwajibika ili kujenga uhusiano bora, na kama mnaishi vizuri mtapanga mambo yenu pamoja. Ukiwa na mawazo hasi kama hayo, familia haijengeki katu.
 
Last edited by a moderator:
[QU OTE=miss chagga;10019099]Ukiona kwenye uchuma umeshindwa kutoa jua ukiweka ndani huna mabadiliko zaidi ndiyo utazidi tia ngumu ... any way ni mtazamo wako[/QUOTE]

Haki ya kutaka kuhudumiwa zaidi huwa mnaitoa wapi? Nitatafuta mjapan bana argh! It's a 50/50 ball, urafiki, uchumba hata ndoa.
 

Ni kweli ubahili umewajaa kila siku umpigie yeye ya kwake anawapigia wengne uchoyo na ubinafsi na kujali wengne kuliko wewe
 
Ukiona kwenye uchuma umeshindwa kutoa jua ukiweka ndani huna mabadiliko zaidi ndiyo utazidi tia ngumu ... any way ni mtazamo wako

duh, yawezekana hujaelewa. Ila UCHUMBA ni hatua kuelekea NDOA. Angalau hadi hapo najua future yetu na huyo mwenzangu, manake nishajulikana kwao, nishalipia mahari nasubiria arusi, kuna tofauti na huo uchumba wenu mnaoitana ndani ya wiki, ambao hata unifanyeje sikupi senti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…