Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Unaamka asubuhi mtu umenuna anajua labda mood haijakaa tu sawa sasa hivi asubuhi hali hiyo inaendelea hadi jioni na kesho yake pia ukiulizwa jibu oghh! kila kitu kipo sawa hii hali ni kero pia.Muda mwingine unamwacha kwasababu unahisi anahitaji space ili afikirie mambo yake lakini jamani hiyo space week nzima muwe mnawafikiria na wenzenu.
 
Hapo kwenye kununa aisee khah!,mwanaume umechelewa kupokea simu,
anatuma meseji kama mvua ya mawe ukipiga kanuna haongei..
Hapana unakuta mdada anajiliza tu,
Acheni hiyo tabia kaka zangu na wadogo zangu wa kiume mtaua wenzenu na kwikwi,
 

Thanks ,at least im above 45
 
Leo wameipata aisee kama 7-1 kwa brazil na grn hahahahhaha I salute you misschagga
 
Last edited by a moderator:
jiananume la kununa nuna ni ushamba na mjinga pia mtu kakukosea mwambie... huna furaha sema leo sina furaha bosi kanitukana ili mimi nijue nakutreat vipi? umekuja umejinunisha unataka mimi nikusidiaje ... ukisema umekasirika kwa 1,2,3 na unatamani ufanyiwe nini naweza toa msaada... si umekuja umenuna mimi nikushike kiuno kumbe unahitaji kushikwa nywele muwe mnaongea...
 
Hakuna mwanaume mbahili katika jambo lake.....!!!

mmmh miss strong usiseme hivyo kuna wanaume anakupenda lakini hela yake ni shida utafikiria katoka au kujifanyia mambo ya maendeleo ni shida utafikiri katoka tumboni na hela.... yani huyo hata kuudumia mama yake ni shida acha kabisa omba wakupitie mbali.... wnawimbo wao SINA HELA
 
karibu mkuu

sasa miss chagga ni usawa gani mnaolilia nyie ? maana majukumu yote unayoyataja ni ya baba kwa mtoto sio kwa mwanamke yaani mwanamke hata afanye kazi bado atamtegemea mwanaume ili usawa uwepo kodi ya meza igawanywe kulingana na vipato kama kuna kodi ya nyumba vivo hivyo ada na mahitaji mengine yote yanayohitaji pesa sasa mwanamke hajulikani anafanya kazi au hafanyi hela zote kwwanaume tu ? labda mfumo dume unaopingwa urudishwe
 
Last edited by a moderator:
..ukiona mwanamke anaongelea pesa pesa mda wote, huyo ana matatizo na she needs counseling.
..maisha ni kiwajibika, haijalishi mwanaume au mwanamke. Ndio maana siku hizi hamna mzazi anayebagua watoto likija swala la elimu na kujiendeleza.

..chukua na ubebe majukumu yako, iwe kitandani, jikoni, sebuleni, kazini...popote pale. Take your responsibilities na sio kuangalia mwenzangu anafanya nini.
 
Mmmmh! mimi huwana naamini kitu kimoja labda leo mnirekebishe mwanamke huwa hamchuni mwanaume anayempenda . Sana anamuonea huruma ila kwa wale asio na upendo nao sasa ni shida sasa nyie mnaolalamika mnachunwa mjiulize mpo sehemu sahihi? huyo mtu unaemlalamikia anakuchuna yeye anakuonaje na kukuchukuliaje ?
 

Unawezaje kusema unampenda mtu halafu humjali??
Kuna watu ni bahili sana hata kwa mkewe aliyemweka ndani,kula nyama mpaka sikukuu lakini kwa hawara sasa anavyozimwaga usiseme.
Papuchi ina nguvu hata mama yako unaweza kumsahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…