ahahahahahahhahahahhahahha naachaje kukupenda bure sasa!we mtu huna akili hata moja yailahi!dahMambo ya bibie wa Kizaramo hayo,kiwiliwili chakosha vyombo upande mmoja, mauno yakatwa upande wa pili...
ahahahahahahhahahahhahahha naachaje kukupenda bure sasa!we mtu huna akili hata moja yailahi!dah
nilikuwa sijcheka kwa sauti kubwa siku nyingi ujue!lol
nimejaribu kumvutia picha huyi bibi wa kizaramo sina mbavu!