SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
Ujue Ni Kitambo Sana Siku Hizi Sionekani Jamvini .Ujue Sababu Niko Mahangaiko Makubwa Kusaka Pesa.Napiga kazi asubuhi mchana jioni na wakati mwingine hadi usiku najikuta nakosa muda wa kuzama jamvini.Basi Nimeona Leo Niwasilimie Wadau Kuonyesha Kwamba Tuko Pamoja . CC Mtoto halali na hela Dinazarde janeth1 ladyfurahia na wadau wengine jumapili njema.
Hata kama ni kutafuta pesa unashindwa kuingia humu mara moja moja?Hela zipo tu bwana
chif chat tena?
Sio ulipata muchumba?
chif chat tena?
Unamfariji eee mwache atafute pesa maisha magumu
kaka umeshashuka?
Unpotea hadi sio vizuri...haya karibu mjengoni best...jumapili njema pia.
ndio mkuu, vipi imekuaje? J4 narud msituni
Hata kama ni kutafuta pesa unashindwa kuingia humu mara moja moja?Hela zipo tu bwana
Hivi wewe ni mwanajeshi? k
Bado Sijafanikiwa Kumpata Dinazarde Nataka Kwanza Nitafute Pesa Labda Nikiwa Na Hela anaweza Akashawishika Kunikubali Maana Pesa Ndo Mpango Mzima.
chif chat tena?