Mie sijasikia hawa watu nimeishi nao miaka sasaHawa mbona ni watu wanaongoza kwa vibarua hasa mashamba ya mikoani kulima? Nadhani tunayoyaskia na uhalisia wa Dom ni tofauti
aliye kwambia usihamie nani?Mbona yote nayajua tangu kitambo?
Huna jipya muombe mod afanye editing ya heading yako
Mpango wa kuhamia Dom uko palepale