Mambo usiyoyajua kuhusu Dodoma

Mambo usiyoyajua kuhusu Dodoma

SITABIRIKI

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
364
Reaction score
105
1. Ni mkoa wenye makabila mengi ya wenyeji yenye lugha zisizoingiliana kuliko mikoa mingine kama vile warangi,wasandawe,wagogo,waburunge
,wa'asi,watiriko

2. Mkoa ambao ombaomba hata atoke Shinyanga husingizia katoka Dodoma

3. Wakazi wake wana umoja katika shughuli za maendeleo na si kuandamana

4. Ni mkoa ambao wenyeji wake wengi hawaoni umuhimu wa elimu,uoto wa asili kama miti n.k

Ongezea...
 
Mbona yote nayajua tangu kitambo?
Huna jipya muombe mod afanye editing ya heading yako
Mpango wa kuhamia Dom uko palepale
 
1.Ni mkoa wenye makabila mengi ya wenyeji yenye lugha zisizo ingiliana kuliko mikoa mingine kama vile warangi,wasandawe,wagogo,waburunge
,wa'asi,watiriko
2.Mkoa ambao ombaomba hata atoke shinyanga husingizia katoka dodoma
3.Wakazi wake wana umoja katka shughuli za maendeleo na si kuandamana
4.Ni mkoa ambao wenyeji wake wengi hawaoni umuhimu wa elimu,uoto wa asili km miti n.k
ongezea
Wangekuwa na umoja kwenye maendeleo tungeona hata ubora wa maisha yao huko kwenye vijiji vyao. Lakini wapi....
 
Ila wakazi wa huo mkoa ni wavivu asee si wanaume si wanawake
Mwl, kuliko wa pwani na Dar! yaani Dar isingekuwa wageni kuuinua ndio ungekuwa mkoa maskini Tanzania, wanawaza vigodoro tu baada ya mdundiko kutoweka
 
Mwl, kuliko wa pwani na Dar! yaani Dar isingekuwa wageni kuuinua ndio ungekuwa mkoa maskini Tanzania, wanawaza vigodoro tu baada ya mdundiko kutoweka
Extent ya pwani siijui sijawahi kuishi nao japo nasikia sikia nao kwa uvivu wamo ila wagogo dah too much ni wavivu sana, kuna siku nipo kwenye usafiri tukawa tunaongea hii ishu Maza mmoja sijui ni mgogo akasema sio kwamba wanapenda kuwa hivo Ila ni roho inawandama tuwaombee, hiyo roho imekamata wagogo tu?? Hawa watu hapana asee
 
Ni wavivu, wanakiburi sana, wanapenda sana pombe na nyama, ni wagonvi,(kumbuka ndugu alivyompiga rungu mgombea mwenzake) wanapenda sana kale ka mchezo ketu, Dodoma wanna shida ya maji na vumbi jingi na ndio mkoa unaongoza kwa ugonjwa wa macho Tanzania,
 
Extent ya pwani siijui sijawahi kuishi nao japo nasikia sikia nao kwa uvivu wamo ila wagogo dah too much ni wavivu sana, kuna siku nipo kwenye usafiri tukawa tunaongea hii ishu Maza mmoja sijui ni mgogo akasema sio kwamba wanapenda kuwa hivo Ila ni roho inawandama tuwaombee, hiyo roho imekamata wagogo tu?? Hawa watu hapana asee
hahahaaaa
 
Mwl, kuliko wa pwani na Dar! yaani Dar isingekuwa wageni kuuinua ndio ungekuwa mkoa maskini Tanzania, wanawaza vigodoro tu baada ya mdundiko kutoweka
Mi nimekulia Pwani & Dar. Wale si kwamba wavivu ila hawa tamani maisha mazuri na wanaridhika na vitu vidogo saaana. Yani wao mkeka barazani, jirani apite umbea bhaaaas hayo ndo maisha.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Wanawake wao hata kama wavivu Wanajua mapenzi kuliko wachaga ambao hulala nankuomba gazeti la sani wasome wakati ww unampa haki ya tendo la ndoa. A.k.a "kumpasua"
 
Ni mkoa una semi desert fulani hivi na kuna madini sehemu fulani kama sikosei ni bahi
 
Pia wanawake zao wanamakalio makubwa..tofauti na wachaga..walipigwa pasi ya umeme na matako kama bumunda
 
Back
Top Bottom