mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,421
- 1,792
Asante mkuu
Tuungane kuzuia ukabila na udin
Hata unachoandika huelewi. unaimba nyimbo za kwenye vijiwe vya kahawa.
Asante mkuu
Tuungane kuzuia ukabila na udin
Asante mkuu
Tuungane kuzuia ukabila na udin
Ndio magufuli kawachanganya kias hiki?
Mkuu nmeamua
Alipo mzalendo wetu wa chadema slaa
Basi na mm nipo hapo
Kwa moyo wa ukweli mbele za Mungu; Roho iliniuma sana walipomkata Dr. Slaa.
Huyu alikuwa ni baba wa mageuzi TZ. Sikuamini macho yangu. Kile ambacho Lowasa na Kingunge walikikataa CCM wakaenda kukifanya CDM.
Damu za wana mageuzi wote na wengine ni vilema hadi Leo kwasababu ya mageuzi zitamlilia Lowasa na timu yake.
Mageuzi yalijengwa na Dr. Slaa, Zitto na Prof Lipumba kwa gharama kubwa. Leo wanatukanwa Kama mbwa.
CUF ndio imekwisha kabisa huku Bara sababu ya kuolewa na CDM. Maeneo ambayo CUF ilikuwa na nguvu CDM kupitia yule Askofu wao wa kubadili misikiti kuwa Sunday School yamesababisha waamue kuipigia kura CCM.
Najua unaweza kunidhihaki lakini ukweli utawaweka watu huru. Hekima inahitajika sana pale mtu unapoongea na public, uwe mwl, ask, sheikh, padri, mch nk
Hili litaigharimu Chadema nawaambia.
Queen Esther