Ekyoma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,179
- 2,813
Wana jamvi chini hapa na mambo muhimu ya kuzingatia ili uwe na furaha katika maisha yako.
1- Usimchukie yeyote hata kama atakukosea sana.
2- Ishi maisha ya kawaida hata kama upo juu kimaisha.
3- Tarajia baraka hata kama magumu yanakusonga.
4- Toa hata kama wewe umenyimwa.
5- Onyesha tabasamu hata kama moyo unavuja damu.
6- Usiache kuwaombea wengine hata kama maombi yako hayajajibiwa.
7- Tafuta demu mkali wa kukupa utamu kama wewe ni me kama mimi.
8- Tafuta pesa ata kwa kufisadi kama chenge.
Wana jamvi naomba kuwasilisha.