Mambo mengine magumu sana

Hiyo picha ya pili...nilishaiona sehemu, na zilikua nyingi na maelezo yake....Hao ni watu wa Sudani ya kusini..na huwa wanakua na mashindano ya kunenepa kwa wanaume..Wanajirokeza washindani..wanawekwa sehemu kwa muda ...wanakua wanakula maziwa,damu nyama etc.....lengo ni wanenepe..wawe vitambi etc..then baada ya hapo mshindi anachaguliwa
 
Ila Sidhani kama Sudan kusini kuna spicie nyeupe kama huyu ndugu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…