Mambo mengi kwelikweli..

Wazazi tuna kazi.
Ingekuwa twaoneshwa watoto watavyokuwa kuna uwezekano dunia ingekuwa na wanadamu wachache....

Ila yote haya ni makosa yetu kutolea watoto katika njia impasayo
Mkuu waweza mkanya mtoto ukampa mafundisho yote had ya dini lakin akaja kuharibiwa na utandawazi.
 
Huyu anaonekana kwa uso bado mdogo ila alianza mambo ya wakubwa mapema sana. Alikuwa na kiherehere
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…