BIG Africa
Member
- Oct 15, 2022
- 85
- 119
Jimbo linaloongozwa na CCM na Juma Aweso Waziri wa Maji.Habari zenu wana Jf.wiki moja iliyopita nilifanikiwa kusafiri kutoka mkoani Arusha hadi mkoani Tanga hasa katika wilaya ya Handeni vijijini.Kwakweli tembea uone.Nilipofika Handeni vijijini kuna kijiji kinaitwa (Kwamgwe) nilishangazwa na mambo maeku peku Kwa watu wa rika lote iwe vijana,watu wazima,au wazee.Mfano wakati nafika huko lilikuwa ni kipindi cha mvua sasa nikawa naona Tu watu wakikanyaga Tu matope peku peku wakiwa wanaenda katika shughuli zao mbalimbali.Karibu na wewe kama una chochote cha kuchangia.
Mkuu hao ndo mtaji wa kura kwa chama chetu pendwa.Habari zenu wana JF,
Wiki moja iliyopita nilifanikiwa kusafiri kutoka mkoani Arusha hadi mkoani Tanga hasa katika wilaya ya Handeni vijijini. Kwakweli tembea uone. Nilipofika Handeni vijijini kuna kijiji kinaitwa (Kwamgwe) nilishangazwa na mambo makubwa mawili. Mambo gani hayo?
Jambo la kwanza ni umasikini wa kutupwa, yaani watu waishio Handeni vijijini hasa katika kijiji hicho ni fukara sana. Mfano nyumba nyingi ni za miti iliyokandikwa na udongo na juu zimeezekwa kwa nyasi. Asilimia 97 ya watu waishio katika kijiji hicho nilichokitaja wanaishi hivyo. Kiufupi Maisha yao ni mabaya sana.
Nimefanikiwa kutembea maeneo mengi nchini na kuoña umasikini ambao tumeuzoea, kama vile nyumba duni zilizojengwa na matofali ya udongo pamoja na kuezekwa na bati za kawaida lakini kule Handeni vijijini nyumba za miti ndio nyingi na nyingi zimeezekwa kwa nyasi.
Baadae nilijiuliza maswali mwenyewe kwamba kwamba familia za kule hazina kipato cha kuwasaidi kufyatua matofali ya tope au ndio wameamua tu kuishi hivyo?
Jambo la pili lililonishangaza Uziguani nadhani litakuwa ni sehemu ya mila za watu wa huko (Wazigua).J ambo Hilo ni kutembea peku peku tena umbali mrefu. Wazigua wa Handeni vijijini wanapenda sana kutembea peku peku kwa watu wa rika lote iwe vijana, watu wazima, au wazee.
Mfano wakati nafika huko lilikuwa ni kipindi cha mvua sasa nikawa naona tu watu wakikanyaga tu matope peku peku wakiwa wanaenda katika shughuli zao mbalimbali. Karibu na wewe kama una chochote cha kuchangia.
Hayo yalikwisha yaliyobakia ni makubwa kuliko hayo ambayo ni CCM NA MUUNGANO na yanalindwa na Dola Ili yaendelee kutesa wananchiJuliasi alishasema tuna maadui watatu: UJINGA, MARADHI, na UMASKINI. Bado wapo!
Duh!Sasa hao ukiwaambia kuendesha bodaboda ni kazi ya kilofa watakuelewa kweli?Terrible!Mkuu hao ndo mtaji wa kura kwa chama chetu pendwa.
waache tu hivyo
utakuta wamevaa kofia ,kanga na tshirt za chama pendwa
Tatizo tunalilona kwa upande wa pili mkuu umaskini ni kama laana unaridhi.Tatizo ni kwamba Raia wengi watanzania wamesha ridhika na umaskini wao.
Huku kunanifaaa mieHicho kijiji hata kunyanduana wanafanya "pekupeku" kijiji kizima hakuna sehemu wanauza kondomu.
Ni mwendo wa nyama kwa nyama.
Noma sana🤣🤣🤣🤣🤣Habari zenu wana JF,
Wiki moja iliyopita nilifanikiwa kusafiri kutoka mkoani Arusha hadi mkoani Tanga hasa katika wilaya ya Handeni vijijini. Kwakweli tembea uone. Nilipofika Handeni vijijini kuna kijiji kinaitwa (Kwamgwe) nilishangazwa na mambo makubwa mawili. Mambo gani hayo?
Jambo la kwanza ni umasikini wa kutupwa, yaani watu waishio Handeni vijijini hasa katika kijiji hicho ni fukara sana. Mfano nyumba nyingi ni za miti iliyokandikwa na udongo na juu zimeezekwa kwa nyasi. Asilimia 97 ya watu waishio katika kijiji hicho nilichokitaja wanaishi hivyo. Kiufupi Maisha yao ni mabaya sana.
Nimefanikiwa kutembea maeneo mengi nchini na kuoña umasikini ambao tumeuzoea, kama vile nyumba duni zilizojengwa na matofali ya udongo pamoja na kuezekwa na bati za kawaida lakini kule Handeni vijijini nyumba za miti ndio nyingi na nyingi zimeezekwa kwa nyasi.
Baadae nilijiuliza maswali mwenyewe kwamba kwamba familia za kule hazina kipato cha kuwasaidi kufyatua matofali ya tope au ndio wameamua tu kuishi hivyo?
Jambo la pili lililonishangaza Uziguani nadhani litakuwa ni sehemu ya mila za watu wa huko (Wazigua).J ambo Hilo ni kutembea peku peku tena umbali mrefu. Wazigua wa Handeni vijijini wanapenda sana kutembea peku peku kwa watu wa rika lote iwe vijana, watu wazima, au wazee.
Mfano wakati nafika huko lilikuwa ni kipindi cha mvua sasa nikawa naona tu watu wakikanyaga tu matope peku peku wakiwa wanaenda katika shughuli zao mbalimbali. Karibu na wewe kama una chochote cha kuchangia.
Tanga ni Tanga tu Hata vichwani Hauko sawa.Ngoja Mbunge wao mtarajiwa Mheshiniwa Mzigua90, aje atolee maelezo. Ila ukija huku kwetu milimani Usambaani, hata kama umasikini bado upo, ila huwezi kukutana na hali kama hiyo.
Hakika Mungu awabariki Wasambaa kokote kule waliko. Maana wanakumbuka sana nyumbani.
Ile ni hatari mno haiangaliki Mungu atuepushe sana na umaskini ni kitu Cha hatari sanaHuko Tanga ni mbali mkuu, juzi nilkua naangalia ITV kipindi cha ripoti maalumu nililia mkuu. Katikati ya jiji la Dodoma ambako ni makao makuu ya nchi na imejengwa Ikulu kuna watu ni maskini wa kutupwa maana tukisema uwazike utakua umewapandisha hadhi. Hapo Dodoma kuna soko la Msalato, wakazi wa jiji wanaenda kuoteza mabaki ya mifupa ya nyama kwa ajiri ya mlo.!!!!
Mkuu ungeweka japo kapicha ingependeza Zaid ☺️🤠Habari zenu wana JF,