Mambo! Mambo! Mambo hadharani hadharani-heslb na bumu dot com | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo! Mambo! Mambo hadharani hadharani-heslb na bumu dot com

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MKINDE, Sep 3, 2012.

 1. M

  MKINDE Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  NATAMANI KUONGEA UKWELI ILA NAHOFU KUNA WATU WATANICHUKIA HUMU NDANI……
  HEBU ANGALIA MAISHA YA HUYU KIJANA MWENZETU KUTOKA MOSHI VIJIJINI AMBAYE ALIKUWA NI MWANAFUNZI MWENZETU KATIKA CHUO CHA KILIMO SUA….
  [FONT=&quot]Naanza kufunguka ishu ipo hivii, ninavyokumbuka jamaa alikuwa mwaka wa pili nilipopata taarifa zake kuhusu jambo hili, inasemekana jamaa yeye ndiye aliyeonesha moyo wa dhati kumsaidia mwanadada mmoja ambaye alionekana kukichukia sana chuo kutokana na kutofanya vizuri katika mitihani yake awapo hapa chuoni. Dodoso zinaonesha ya kwamba mshikaji alikuwa anapata mkopo asilimia mia moja na huyu mwanadada yeye alikuwa anapata asilimia arobaini au thelathini hivi, sasa ndio naanza stori,… Inasemekana jamaa alijitolea kwa moyo wote kumsaidia mwanadada huyu kutokana na roho nzuri aliyopewa na Bwana(MUNGU), Jamaa yeye ni mlokole safi aliyefanikiwa kumvuta mwanadada huyu kutoka katika dini yake ya kiislam na kujiunga nae katika dini ya ulokole…. NYIE MNAOKWENDA KUANZA CHUO MNATAKIWA KUFUATA KILE KILICHOWAFANYA TCU WAWAJUE LA SIVYO MTANICHUKIA NA HIZI STORI ZANGU….Inasemekana huyu jamaa baada ya kuishi na mwanadada huyu kwa muda wa kama miezi mtatu na kuona maendeleo yake katika masomo na pia dini ni mazuri ndipo mawazo ya kumtongoza mwanadada huyu yalipo ingilia kati, kwa mujibu wa neno la bwana mwende duniani mkajaze dunia, ombeni nanyi mtapewa na maneno mengine mengi yakatawala katika discussion zao za masomo yaani nyie tumkemee sana shetani huyu mwaribu malengo ya wengi..Basi ishu ninayoikumbuka baada ya hapo ni kwamba jamaa nadhani alikubaliwa ombi lake la kuwa mchumba na siyo tena rafiki, wapendwa katika bwana waliendelea kumsifu bwana na hatimaye malengo ya ndoa yakatawala tena katika discussion zao za masomo…. Mambo yakawa mambo pale nilipoanza kupewa stori hii na wadau wa rumu kwangu eti mshikaji mlokole anayetaka mchango wa harusi ndiye huyu aliyetoka humu ndani muda si mrefu. Mzee wa kudodosa nikaanza kudodosa dodosa,…CHUOOOO! RAHAAA! UTAMU YAANI KAMA UBONGO HAUFANYI KAZI UTAJUUTA TCU KUKUCHAGUA UJE CHUO….Basi bwana si unajua tena ukishaonja asali utatafuta mzinga ili ule asali yote ya nyuki warukao..Jamaa ile bumu limengia tu akazama mlimani city jijini Dar es Salaam kununua pete ya uchumba dodoso zinasema ilikuwa inauzwa 150,000/= ila jamaa alichukua kwa 100,000/= Basi nakumbuka hiyo siku nipo zangu rumu navuta msuli ndipo mshikaji wetu flani tunamwita kwa fujo DJZ alipoingia rumu huku akipiga kelele huku akisema mambo! Mambo! Hadharani mlokole avuta jiko rasmi leo! Supriiiiize wote twendeni mkale! Mkanywe! Hadi mkufe ha !ha!ha!...Wapenda kula tukaunga tela….USIOMBEE BUMU LIKUWASHE ALAFU UWE HUNA AKILI YAKUWEZA KUJIKUNA UTATAMANI UHAMIE HESLB..Kweli bwana jamaa alikuwa anamfanyia suprize mpendwa mwenzie katika Bwana, wale mabingwa wakunywa tulikunywa, tulikula huku kwa mbaaaaali tukiburudishwa na wimbo wa flora mbasha ule wa adam unaoimba masuala ya ndoa ndoa mi kuimba sijiui, baadaye kila mtu kivyake vyake rumu kwake….. Ninachokumbuka ni kile kipindi cha graduation yao ile siku ambayo jamaa alitamani apae mbinguni kama Yesu, Ilitokea njemba moja imejaziajazia kisha ikampa zawadi shemu wetu na kumpiga mabusu yakutosha si ndio hapo jamaa akaja juu( wazee wa dodoso tukajisogeza karibu ili tupate cha kuropoka rumu),:Wife kuna nini hapa kinachoendelea?( Jamaa mlokole aliuliza).. shemu wetu akawa anatetemeka utadhani kapigwa shoti ya umeme… MWISHO WA SIKU WAZEE WA DODOSO TUKAINGILIA KATI KUMPA KAMPANI MLOKOLE ILA KILICHOTUPATA NI SIRI YETU KILA MTU ALIUGULIA KIVYAKE VYAKE RUMU KWAKE NA KITANDA CHAKE….Aaagh! mademu wa chuo siyo wala nini! mambo gani sasa amemfanyia mlokole wetu siyo ishu
  [/FONT] na vimaneno vingine vingi vilisikika kwenye kila rumu baada ya graduation kumalizika. MKE WA MTU SUMU……………
  UJUMBE: HAKUNA TRUE LOVE AT UNIVERSITY LEVEL ILA UKITAKA KUPROVE JARIBU….
  ***************MWISHO WA STORI*******************
  METHALI: 1. dear dear…………………………..
  JIBU: bumu likitoka
  :2. I hate you I hate you………………..
  JIBU: bumu likiisha
  JAMANI EEEEE! TUKASOME HAYA MAMBO YAPO TU KAMA UMEMKOSA WA UKWELI FORM FOUR, FORM SIX……UTAMPATA KWELI CHUO? LABDA UWE KATIKA MTANDAO WA WENGI … NA UJIANDAE NA KUMPOKEA MGENI STRESS NA MAGONJWA YA ZINAA…
   
 2. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  haha mkuu umetisha japo story yako ina makadilio meng
   
 3. M

  MKINDE Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ha ha haa kweli mkuu makadirio ni mengi ila nadhani kaujumbe kamefika kwa wahusika
   
 4. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hadithi zako za kusadikika zimejaa upuuzi mtumu peleka jukwaa la chit chat, hiyo pesa ya loans sijui laki 6 ndio mtu afunge ndoa bila kuhitaji michango ya watu wengine?
  Hadithi mpaka imeniharibia blue monday yangu.
   
 5. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Story ndefu sana! Niko naanalyse data mkuu sitasoma ila ahsante.
   
 6. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  +1 mkuu
   
 7. siansakala

  siansakala Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acheni upumbafu humu...kila mtu anatoa ma hadithi ya kusadikika,,et mara mtu kapewa bumu akahonga mpaka mama yake....mara mwingine kafunga ndoa..ACHENI UPUMBAFU
   
 8. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inaonekana ndo tabia yako kumbe, hah hah hah nimeshakusoma hutonisumbua tena. Halafu mbona hujalazimishwa kusoma? Mijitu mingine bwana
   
 9. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umesomeka kaka hata km baadhi ya watu wanadisi, mimi nimepata somo kubwa, asante sana one love bro
   
 10. mnoel

  mnoel Senior Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 170
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  hadith yako peleka jukwaa la siasa.
  Utumbo mtupu,
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  jaman ata kanuni za uandishi huzijui?
  maandishi yamekaa km tofali

  la ngap ndugu yangu?
   
 12. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  story nzuri....i love it....
   
 13. R

  Real Mc Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah kaka m naona hao wanaopelekwa kindez na madem wa chuo ni maboya! Kwanza m dem hawez kuniteka kihivyo wewe yan nizimike kama huyo Mlokole.Tatizo n kwamba mchz katokea shamba then hajawah kukutana na madem wadanganyfu ambao wanaweza kukuigizia ukaamini wanakupenda
   
 14. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  leo umekwama wapo wenye tabia nzuri usipotoshe watu mbona mi ninae ni mwaka wa 3 sasa na tunashirikiana mengi na mimi sina mkopo ye anao na tunasaidiana si kweli usikatishe tamaa madogo kama yamekukuta utajiju cha muhimu wawe na mapenzi ya kweli na yenye malengo izo stori hata mtaaani zipo si chuo tu xo watu wasiwe na uhusiano au?hilo haliwezekani ni kama unataka kutka maji na kanga
   
 15. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  kwa kwa kwa kwa fomu one A huyo
   
 16. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  wanataka kuanzisha jukwaa la stori wakati kuna mambo ya msingi mengi tu
   
 17. H

  Hoosayn JM Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CRaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap
   
 18. M

  MKINDE Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Poleni sana wana JF ambao mmekwazwa na stori hii ila halikuwa ni lengo langu kuwakwaza lengo langu ni kutoa ujumbe ambao unapatikana sana maeneo mengi ya vyuoni, kama message imekufikia tofauti na nilivyotarajia nakupa pole ila usiwe wewe ndio kikwazo cha wengine kutopata ujumbe, kama umeona wewe haya mambo unayajua kaa kimya wasiojua wasome wapate ujumbe hujalazimishwa kusoma, kuhusu kwamba stori hii niipeleke jukwaa la kuchit hayo ni maoni yako na yatafanyiwa kazi kama wewe ni mstaarabu na great thinker weka stori yako tusome tupate ujumbe unao husu jukwaa hili..
  KAMA YAMEKUKUTA TULIA WAAACHE WENZAKO WASOME WAEPUKANE NA TATIZO NILILO LIELEZEA...
  ASANTENI WANA JF.
   
 19. srinavas

  srinavas JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 2,727
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280
  nyie watoto ambao ndo TCU inawachagua nyie ,, mnasumbua sana humu ndani ,, mmefanya hili jukwaa kuwa halina mvuto ,, na jamii forum kwa ujumla...... stori za kipuuzi tu ,, hivi bum mnadhani ni pesa ya maana kiasi hicho?? wakati ni kapesa tu ambako huwezi hata kununua suruali mpya
   
 20. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #20
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka usijali mimi nimekuelewa na ni nini unamaanisha. Wengine humu wamezoea kudisi tu,
   
Loading...