Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,826
Kupata aliyekamilika pote, huyo atakuwa malaika.
Makubwa
naona umesoma seminary za akina David Cameroon Mkuu hivo hutoelewa alichomaanisha,samahani lakini
Kushinda na kukesha whatsapp, kulala na mwenzio utadhani unalala na rafiki ako mlosoma wote seminary
Mbona yote 39 yananihusu
Looooh!!............
Yani mtu ana magroup 9 whatsapp basi huko ndani anakuona kama pambo tu mxyuuuuuukweli kabisa hii whatsapp ni shida yaani napata hasira
hizi smartphones kwa kiasi flani mpaka wanakosa matamanio..
lakini wengine tuna nyege mng'ang'ano haziondoki mpaka zimeet several papuchiz
Tena inafika saa mko bed unataka kuongea nae kitu cha maana anakuambia nipe dkk 5 nimalizie kuchat na my friendsYani mtu ana magroup 9 whatsapp basi huko ndani anakuona kama pambo tu mxyuuuuuu
Dear hapo kero ni smartphones au nyege mng'ang'ano ambazo haziondoki mpaka papuchi kazaa zipitiwe?Ni kero tupu
Ajabu kwani?
Kukatika sana viuno bila hata kumuachia nafasi mpenzi wako...
Nilikuwa na mpango wa kuja kuwekeza love kwako ila kwamba wewe zote zinakuhusu umenifanya nisikie kizunguzungu!!
Si tunarekebishana tu...
Mkuu maana wengine dakika ya kwanza mpaka tisini yeye anakata tu huku mzee unamaliza chupa za maji
pesa mpe pesa tumia pesa ... omba msamaha kwa pesa.... nipe pesa